Msaada wa kimawazo kuhusu kubadili application ya vyuo

Msaada wa kimawazo kuhusu kubadili application ya vyuo

De black

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
52
Reaction score
0
Ndugu wana jf,mimi nimemalza fom six mwaka jana na kfanikiwa kufaulu vzur mchepuo wa HGL.ndoto yng n kuxoma degree ya business administration lakin nimeshndwa kpata vyuo nilivyokua nikivipenda kutokana na kua na F ya math katka necta ya fom four,na vyuo vng katka koz ya BBA wanataka uwe na pass ya math,nimefanya aplctn katka kozi hyo kwa vyuo vifuatavyo 1.MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AN TECH(MUST) 2.CBE-DAR 3.T.I.A vyuo hvyo havna limit ya hexabu.sasa chuo cha must nlikiweka kama namba moja lakin waliopo hapo pamoja na vyuo vingine wamenshaur kua hcho sio chuo kizuri kwa masomo ya biashara,bora CBE na tayari deadline imeshapita,na mimi lengo langu nipate business education yenye quality ambayo naweza competit katka market,je nifanyeje?
 
deadline imeshapita,mimi niliwauliza tcu wakanijibu hawezekani kubadilisha kwa sasa,cha msingi subir selection zitoke huenda ukabahatisha.
 
deadline imeshapita,mimi niliwauliza tcu wakanijibu hawezekani kubadilisha kwa sasa,cha msingi subir selection zitoke huenda ukabahatisha.

Daah!bas tena hiyo ishakula kwangu,maana nkipata first choice itakua kasheshe..
 
Daah!bas tena hiyo ishakula kwangu,maana nkipata first choice itakua kasheshe..

Haya mambo ya kuskia maneno haya!!! Nani kasema MUST si wazur ktk biashara?? Ushawah kusoma ukaona hawapo fresh?? Ukipata nafas nenda...
 
Haya mambo ya kuskia maneno haya!!! Nani kasema MUST si wazur ktk biashara?? Ushawah kusoma ukaona hawapo fresh?? Ukipata nafas nenda...

Thank u mkuu,ujue haya mambo kwa sis ambao n first time yanatupa wakat mgum xana,maana huyu atakukatisha tamaa..huyu vilee..
 
Thank u mkuu,ujue haya mambo kwa sis ambao n first time yanatupa wakat mgum xana,maana huyu atakukatisha tamaa..huyu vilee..
hiyo ni kawaida na ukisikiliza sana maneno ya watu utapotea...kama umeridhia toka moyoni we nenda tu kama ukichaguliwa..
 
Thank u mkuu,ujue haya mambo kwa sis ambao n first time yanatupa wakat mgum xana,maana huyu atakukatisha tamaa..huyu vilee..
kwani hapo kwenye x ukiweka s utakufa au......hata uandishi wako unaonesha tu haupo serious ndio maana kila unachoambiwa unakubali
 
Nenda kasome, kitakacho kufanya uuzike katika soko la ajira ni jitihada zako binafsi tena ukiwa na sifa ya ziada na sio chuo.
 
Back
Top Bottom