Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

Sisi ndo wanawake mdogo wangu.

Once we have our eyes on a good man with potential tutamuingiza kingi tu.

Sasa depression ya nini ndugu? You have a woman who has your child, loves you and loves your kids.... Jilipue uenjoy maisha ya ndoa.

Ndoa Raha, watoto ndo usiseme.
 
Kwa style hii single mama hatiwezi Isha Aisee.

We wajua lipi Bora..chaguo ni lako.
 
Nimefurahia Sana huu uzi sijui why?
 
Umuri wako ni umuri sahihi kbs kuwa na familia. Umepata bint anaekupenda na mwenye kazi, wewe mwenyewe kama ulivyosema unajikimu kwa vimishe vyako vya hapa na pale.
Kuna watu wanakuwa na pesa nyingi lakini kumpata mwanamke sahihi inakuwa kazi kubwa kuliko kutafuta kazi.
Ukiichezea hii bahati utakuja kuikumbuka siku zote za maisha yako, sikutishi ila mahusiano now days ni shida janga la kitaifa.
Acha kufikiria zaidi maisha makubwa kama vile familia utaenda kuinunua sokoni au dukani.
Unaweza kuja kukutana na mwanamke akakuvuruga akili wewe na wazazi wako mpaka mkajuta. Bora huyo ambae kashaivana na wazazi, kakuzalia na pia anakupenda na kukuhofia pamoja na heshima.
Yangu ni hayo.
 
Mkuu acha kufananisha deppression na hayo mawazo ya kumkataa mtoto wa watu deppression usingepata hata mudacwa kuandika hicho
 
Kama kaka yako nakushauri muoe.

Just muoe!!
 
Yaani wewe unadinyaner bila kinga halafu unataka mimba igeuke kuwa ya wanaume wenzako...shubamiiiit.

Hakuna kitu kinachoitwa safe days, hizo huwa zinabadilika badilika kama hali ya hewa tu...

Kama hukuwa na nia ya kuharibu plans zako za kuoa, usingeanza michezo ya kuvuana chupiii...
 
Maoni yangu ni haya:

Usioe mtu usiempenda, utasumbuka mbeleni. Tamaa imekuponza Ila maamuzi yako yashikilie na uyatetee.

Ndoa nyingi zinavunjika huku zingine zikipumulia oxygen. Tunza mtoto wako, sameheaneni mlipokoseana,maisha yaendelee.

CD
 
We mpuuzi kweli miaka ishirini na saba unalia lia tu,au unataka kuwa billionaire?
Kwa ulivoeleza mwanamke anakuelewa na hana kasoro yoyote ,pili anakazi yake na kingine huna watu wengi wanaokutegemea asa unachotaka ni nini au umerogwa?
Anyway maamuzi ni yako ila unaeza pishana na gari la mshahara maisha ya siku hizi umepata mtu anakupenda,uwezo wa kumhudumia unao asa unachotaka ni nini
“penye miti hapana wajenzi”
 
Anachonichosha hyu kijana so kwamba hampendi ila anadai hajapanga kuoa kwa sasa et ana malengo mengi ya kutimkza,uwiiii
 
Jaman bandugu amesema huyo binti ana kazi yake nzuri ko shida ndogondogo hana(hii ni kwa wale mnaokazana ampe mtaji)
 
Kumbuka " Ni rahisi kuvumilia kuishi na anae kupenda japo we humpendi kuliko kuishi na unaempenda ingali yeye hakupendi"
.
Choose wisely bruh!
 
Huchomoki kirahisi hapo mkuu
 
Sijui kwanini anachelewa kukubaliana na huu uhalisia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…