Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

Depression ni kukata tamaa baada kupitia hatua ya msongo wa mawazo - stress...... So kisaikolojia huna depression. Labda stress kidogo sana...

Back to topic huyo dada ndio mkeo period. Fanya yote ila hapo huchomoi
Ni suala la muda tu
 
Kuoa ni mzigo lakini baba ako aliubeba mpaka ukafika hapo.
Bro everyone has his life path.
Usikariri..
Baba alikua mlevi, kwahiyo unataka na mtoto akalale bar na ulanzi?

Baba alikua engineer ila mimi ni muhasibu.

Kila mtu na aishi MAONO YAKE.

#YNWA
 
Unachezea shilingi chooni
 
Kuna sehemu jamaa kasema hampendi mwanamke? Jamaa tatizo lake ni muda wa kuoa anaona bado haujafika
Ukisoma habari vizuri ameonyesha hayuko interested na demu kabisaa.

Na usipokuwa na interest na mtu it means humkubali/humpendi.

#YNWA
 
Hajakimbia majukumu ila hajisikii kuoa.
Mtoto analea KWANI HAYO SI MAJUKUMU TOSHA?

#YNWA
 
Follow your heart
Find your happiness.

Asiishi kwa maisha ya Sheria za watu.

Binafsi nilishakutana na mwanamke kama huyu 2015 niligoma kabisa kuoa.

Na kwasasa nalea mtoto na yeye kashaolewa.

Nilifata moyo na nina maisha bora tu na mwanangu.

Kuoa labda miaka 5 ijayo ila sio hii 31.

#YNWA
 
Ndoa raha ila kwa umpendae.
Binafsi ilinitokea 2015 niligoma kabisa.
Na kwasasa kila mtu ana maisha yake.

Kaolewa ila mimi kuoa bado sanaa 31 kwangu sio umri wa kuoa huu.

Maswala ya muoe tu eti kisa nimemzalisha "alitumwa kunitegeshea?"

Mtoto nitalea vizuri tu ila mama ake "Kila mtu ale hamsini zake"

Mapenzi hayalazimishwi, huja automatically.

#YNWA
 
Kumbuka " Ni rahisi kuvumilia kuishi na anae kupenda japo we humpendi kuliko kuishi na unaempenda ingali yeye hakupendi"
.
Choose wisely bruh!
Ushawahi kuishi na mtu humpendi uone anavyokera? Akitembea anakukera, akila anakukera, akilala anakukera, akikuita anakukera hakuna kitu anaacha kukukera.

Oaneni kama mnapendana na si kinyume chake, hata kama upendo hauwi sawa lakini kila mtu ahakikishe anampenda mwenzake, unayempenda utamuelewa, utamuonea huruma, utamsamehe na hautahesabu baya lake (kwa sisi wakristo soma 1 wakorinto 13: )

Kila mtu aongozwe na moyo wake katika kuamua masuala ya ndoa.

Mleta mada naamini kuanzia leo hutawasimanga single mothers na utawaeleza wanaume wenzio kuwa ninyi ni sababu mojawapo ya uwepo wa single mothers, Kila la heri.
 
I agree honey, but she sounds like a good woman. Anyway to each his own.
 
Kitu pekee unatakiwa kutambua, mwanamke akikupenda utaishi nae Rana mustarehe maana ataishi kwa kufwata amri zako...ila usisubutu ww ndio ukawa unabembeleza upendo...atakupelekesha hakuna rangi utaacha ona
 
Mkuu, jibu ni: Sio lazima. Na Sio lazima sasa hivi.

Kwanza aliyekwambia akizaa ndio hapo hapo unaoa ni nani?

Huhitaji kufanya maamuzi sasa hivi. Lea mwanao, mjali mama yake.

Mwisho wa siku kama mapenzi yapo yapo na kama hayapo hayapo tu. Hata yeye mwnyw atajua tu fungu sio lake. Kwa sasa usiwe na presha.

Watu wameoa wazazi wenzao after years wakati mtoto kashakuwa, wewe mtoto kazaliwa juzi tu unawaza ndoa?

Japo binafsi natamani ungemuoa huyo binti. Ila ushauri wangu ndio kama hapo juu. Sio lazima. Na sio lazima sasa hvi.
 
Kitu ambacho sipendi ni wazazi kuingilia mahusiano yangu na kuchaguliwa mke (nimeshaoa).
 
Mwaka jana mwanzoni kuna binti nilikutana nae maeneo ya mjini, ni mzuri sana na ana kazi yake nzuri tu, very social na ana roho nzuri sana tulibadilishana contacts baadae tukaanza kuwasiliana na baada ya kama wiki tukafanya mapenzi.
Kijana, ulimkuta huyu binti na kazi yake nzuri tu, very social, anaroho nzuri... lakini baada ya wiki akakuamini hadi kukuvulia nguo ukamla mchezo! Hapo naona utakuwa unamuonea huyo binti ukisema anakuwa karibu na wazazi wako baada ya kugundua ni wastaafu, kumbuka wakati unamla mchezo baada ya kufahamiana kwa wiki moja tu alikuwa hawafahamu wazi wako! Kawafahamu wazazi wako baada ya kumpa ujauzito! She loves you, weka huyo binti ndani na umpongeze kwa kumfungulia biashara kwa sababu mnajiweza! Yeye afanye kazi ndogo tu na majukumu yake yawe madogo pia (ili apate muda wa kuangalia familia) labda ahakikishe familia inakula kila siku kutoka kwenye kazi yake, ila wewe unabaki na majukumu mengine makubwa kama kulipa ada za shule, mavazi, hospitali, nk. Maisha safi kabisa aise!
 
Nimeona money... Nikajua moneypen kumbe moneyman, ngoja nirudi nisome vizuri halafu nitoe ushauri sas.
 
Huyu jamaa aache ushamba unapigaje demu usiyempenda kila siku? Mademu usioweza kuwaoa unapiga mara moja unasepa na hupigi peku
 
Acheni ushamba wenu wa kupiga pekupeku, demu usiyempenda unaendanae kupima ili iweje?
 
Maoni yangu ni haya:

Usioe mtu usiempenda, utasumbuka mbeleni. Tamaa imekuponza Ila maamuzi yako yashikilie na uyatetee.

Ndoa nyingi zinavunjika huku zingine zikipumulia oxygen. Tunza mtoto wako, sameheaneni mlipokoseana,maisha yaendelee.

CD
Ataingia anapopenda wakati yeye hapendwi, atajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…