Msaada wa kimawazo nimalize Deni la sh. 9M

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka .

Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina uwezo wa kuniingizia 200-250 k kwa mwezi na kwa sasa sina Kazi .?
 
Kama unaingiza laki 250 kwa siku unashindwaje kulipa hilo deni panga hesabu zako vizuri
 
Nakushauri uza ulichonacho ulipe deni uwe free, otherwise kama anayekudai hana usumbufu.
 
Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka .

Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina uwezo wa kuniingizia 200-250 k kwa mwezi na kwa sasa sina Kazi .?
Fany umachinga wakufanya delivery nenda madukani pale kitumbini jumua miswaki,viwembe, socks na pipi sambaza maduka ya reja reja mitaani natumai utanipatia hiyo pesa
 
Rafiki yangu hapo kazi ipo! Hapo jitahidi tu kubuni vyanzo vingine vya mapato tofauti na hapo mambo yako yatakua zofuri hali!
 
Riba ni mbaya sana, Ndo mana uislamu umepiga marufuku riba na riba ni haramu,ona sasa mdaiwa anawaza nyongeza kuliko deni halafu mdeni yupo tu amerelax anataka kuchkuwa hata kisichokuwa chake
 
Fany umachinga wakufanya delivery nenda madukani pale kitumbini jumua miswaki,viwembe, socks na pipi sambaza maduka ya reja reja mitaani natumai utanipatia hiyo pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo rahisi mkuu
 
Back
Top Bottom