RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Huwezi kutumia hizo 2.2m kukuza mtaji wako ukakupa zaidi ya 250k kwa mwezi?Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka .
Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina uwezo wa kuniingizia 200-250 k kwa mwezi na kwa sasa sina Kazi .?