Msaada wa kimawazo nimalize Deni la sh. 9M

Huwezi kutumia hizo 2.2m kukuza mtaji wako ukakupa zaidi ya 250k kwa mwezi?
 
Ukisikia kukopa sherehe, kulipa matanga! Ndiyo hii sasa.

Mimi kiukweli sina mchango wowote. Maana hata utaratibu wenu wa kulilipa hilo deni tu, siufahamu.
 

Kwa sababu una uzoefu na hizo mpesa basi fanya mpango ufungue zingine sehemu nyingine zilizo changamka au mkoa mwingine!
 
Kaandishe sensa
 
Tumia ubabe..usikute deni lilianzia millioni 3. Hadi 9...akikuona legelege litafika million 100....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…