Msaada wa kimawazo

Msaada wa kimawazo

luhagiza samson

New Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Jamani wana Jamii naombeni msaada wa kimawazo nahitaji kwenda Nairobi kwa kazi ya saluni ya kike but sijajua ni sehemu ipi inafaa ,hata kodi zao za nyumba zikoje kwa mwezi
 
Hapa kuna baadhi wana uzoefu na maeneo hayo kwa sababu nina mtaji basi kwenda rahisi but nahijati kujua maeneo yanayohit kwa kazi hiyo
 
Back
Top Bottom