Msaada wa kimawazo

Chai.
 
Mkuu mwezi wa 6 nilienda kahama tulikua tunasomba tumbaku kutoka vijijini tunaipeleka mjini kahama kwenye makampuni yanayonunua, aisee wale vijana wa vijijini wanapiga hela balaa na tumbaku inanunuliwa kwa dollar, nikasema ipo siku nitaifanya.
Ndohvo ni biashara nzur
 
Mawazo ni mengi Ila kitu kizuri kuzidi vyote ni kuongeza umakini zaidi.

Ushauri
Tumia muda mwingi kufanya UTAFITI kwa kuingia FIELD pasipo kuwekeza chochote kwanza.

Unaweza kuanza kujitolea katika BIASHARA ya MTU kwa lengo la ku-gain Experience and exposure.

Katika biashara unashauriwa kufanya ambayo unaijua means ambayo Una experience nayo.

So Pesa au hela hakikisha unaipitisha ktk hizi hatua

Earn
Manage
Multiply
 
Tupia 45M yote UTT kama hujui biashara usifanye invest passively. ikibaki 5M jaribu ku deal na Kilimo as umesomea hayo mambo. Kodi shamba na weka mtaji wa less than M, itumie hiyo kujifunzia.

Endelea kujifunza kuhusu passive investment zingine, kama Hisa etc

All the best man
 
Nipe huu mchongo unavyokuwa
 
Kwa uzoefu wa elimu yako wengi ndo wameajiliwa uko agricom, pass trust na kadharika hivyo unaweza jiajili huko ukaanza small company ukiendelea kujifunza pia nyumba ikiwa Ini good condition ijazie vitu muhimu iendelee kuwa ya kisasa
 
sio wote mimi ni mrugaruga nilikua mkulima meru kiranyi nikaja darisalam nikawa mbeba tofali sasa niko mochwari dunia ya pili.
Sasa km wewe mkulima si uendelee na kilimo mahi 😹😹
 
nakushauri tafuta mentors au experienced business coaches wazuri wakuongoze mkuu. Kuwa na hela nyingi bila feasible plan on hand utajikuta zinakupangia matumizi zenyewe
 
Kuna usemi unaosema mtoto wa nyoka ni nyoka,namanisha kuwa kama baba yako ni tajiri ni mtu mwenye uwezo mzuri mpaka ameweza kukugawia kiasi hicho cha pesa pamoja na nyumba,fuatilia mbinu na njia anazozitumia baba yako ambazo zimemtajirisha mpaka amekuwa na uwezo wa kuwagawia fedha na nyumba.
 
daaah...niwe mkweli mwisho wa hera nilioiona kwa macho yangu ni 1.5...........hongera
sina cha kukushauri ndg yangu kila la heri hyo hera naonaga t inatajwa na sijui kama ntawah kuiona
kila la heri! dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…