Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia.

Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi katika mikoa 24 na halmashauri 172

Hayo yanafanyika ndani ya miaka minne ya Serikali ya awamu sita kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa.
 

Attachments

  • VID-20250426-WA0057.mp4
    15.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…