mmh pole sana alan,kusamehe na kujaribu kuyachukulia yalikuwa ni mapito tu itasaidia,pia ungepata cancellor ikiwezekana wa dini coz naamini kwa mungu hakuna linaloshindikana,cha mwisho usione kama tatizo lako ni kubwa sana kumbuka kuna wenye matatizo zaidi hata ya kwako
lin ni vyema lakini pia yeye anahitaji kujifanyia councelling na kuikataa hali kwasababu hata akifanyiwa na mtu na bado hayupo tayari kuachilia bado atakuwa kwenye kifungo mambo mengine yanaanza na wewe wenyewe kwanza .Sasa kila kitu anasema siwezi siwezi unafikiri mengine yatawezekanaje? mamy?
Kwanini unakuwa na mtazamo hasi kwanini unaamnini hakuna atakaye kuelewa ? Je ni kwasababu ya unawamistreat?
Kataa hiyo hali acha kumtukuza ibilisi
nakubaliana na wewe 100% mtu binafsi asipokubali kuliachilia jambo akaendelea kulibeba moyoni hata asaidiwe vipi tatizo litabaki palepale
Mmmh! Mkuu kama hisia za midadi unazo hata usijilazimishe kupenda! Ni mateso sana kumpenda mtu hata kama unalala naye!
Unachotakiwa kufanya ni kuwa muadilifu, kutona na maelezo yako ni kuwa hauna mapenzi na hauna uadilifu!
Ukumbuke, mapenzi na uadilifu ni vitu viwili tofauti ingawa vinashabihiana!
Unaweza kupenda na usiwe muadilifu!
Unaweza kuwa muadilifu na usipende!
Unaweza kuwa muadilifu na ukapenda na unaweza kuwa usipende na usiwe muadilifu (na hii ndio hali uliyonayo!)
Kuna article moja nilisoma inasema ukitaka maendeleo tazama mbele! Ukiangalia nyuma hautaweza kutembea vizuri, aidha unaweza kujikwaa na kuvunjika!
Ile article ilitolea mfano wa mtu anaepanda mti mrefu, ilisema: ukiangalia chini unaweza usipande tena kwa sababu utajipangia mahesabu ya kudondoka na athari zake, kitendo cha kufikiria hivyo tu unajijengea disorder inayoitwa anxiety!
Alafu jaribu kumsoma huyu mtaalamu (Sigmund Fraud) unaweza ukapata kitu humo!
Id, Ego and Superego - Structural Model of Personality
Sijasema kwamba siwezi, naweza na ndio maana nikaamua kuusemea moyo baada ya kujitathimini kwa kina na kutambua tatizo so nataka pa kuendelea kuivua hali hii.
Pole sana ndugu! Hii hali unaweza kufanikiwa kuitatua endapo utapata ushauri wa Kisaikolojia na tiba kwa muda mrefu (psychotherapy) ambayo itasaidia kubadili mtazamo wako. Wataalam wa mambo ya akili wanapatikana hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kitengo cha magonjwa ya akili. Waone hao watakusaidia kurudi kwenye hali yako nzuri ya afya ya akili.
Kwanini unakuwa na mtazamo hasi kwanini unaamnini hakuna atakaye kuelewa ? Je ni kwasababu ya unawamistreat?
Kataa hiyo hali acha kumtukuza ibilisi
Tune yourself jikubali kuwa wewe ni mwanaume kamili ambaye anapaswa kuwa na mwanamke na ukamfanya mwanamke awe proud na wewe usimuundermine mwanamke kwa kuangalia mambo ambayo wengine wamekutendea.Kila unayemueleza anasepa au anaamini namake up a story na mazingira ya kumkimbia. So mtu asipo nielewa inaniuzi sana
Tune yourself jikubali kuwa wewe ni mwanaume kamili ambaye anapaswa kuwa na mwanamke na ukamfanya mwanamke awe proud na wewe usimuundermine mwanamke kwa kuangalia mambo ambayo wengine wamekutendea.
Halafu no need to tell a person your problems at first unaweza kuwa nae kwenye mahusiano baadae ukamweleza kama story tuu. hakuna haja ya kwenda kwa counceller wewe ni counceller namba moja