Gemmy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,211
- 822
Halafu naona kama umeamua kulikumbatia tatizo na kujisemea siwezi kusamehe jifunze kuachilia mambo maana naona kama unajitesa na unatesa watoto wa watu
Hiyo nguvu ya mabadiliko ipo kwako mwenyewe wewe ndiye mwenye maamuzi ya kujikomboa kutoka katika hiyo hali kwa kuachilia yaliyopita na kusongambele .Mungu anahitaji kushirikishwa katika hili