Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliondoka bila ruhusa, umerudije kazini? Uliripoti kwa mwajiri wako na kukupangia kazi au ulirudi kimyakimya na kuanza kazi?Mimi ni mtumishi katika idara ya elimu Bagamoyo.
Nilikwenda kusoma baada ya kukataliwa releasing letter, mshahara umezuiwa kwa muda mrefu, niko kazini still mshahara wangu umezuiwa.
Naombeni ushauri ili nipate haki zangu.
Mimi ni mtumishi katika idara ya elimu Bagamoyo.
Nilikwenda kusoma baada ya kukataliwa releasing letter, mshahara umezuiwa kwa muda mrefu, niko kazini still mshahara wangu umezuiwa.
Naombeni ushauri ili nipate haki zangu.
uliondoka bila ruhusa, umerudije kazini? Uliripoti kwa mwajiri wako na kukupangia kazi au ulirudi kimyakimya na kuanza kazi?