Wadau poleni na majukumu ya kila siku Leo nilikua nataka kujua haki yangu kisheria maana ijumaa iliyopita katika harakati zangu za kibiashara nilijikuta kazi zangu zimesuasua kweli kweli maana ATM card yangu ilimezwa katika branch moja hivi sasa mimi ninahaki gani kisheria katika hili, na je nikiishtaki beki naweza pewa fidia kwa usumbufu niliopata ebu naombeni ushauri katika hili