Msaada wa kisheria dhidi ya huu mgogoro

Msaada wa kisheria dhidi ya huu mgogoro

Ezemelody

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
29
Reaction score
34
mama yangu na baba yangu wanakesi ya talaka mahakaman.baba alimtelekeza mama na kuishi na mwanake mwingine.mama hakuolewa.baba ni mstaafu,alipostaafu alinunua baadhi ya mali na sasa kesi imefikia kwenye kugawana mali. Swali sasa

je,mama yangu atagawiwa sehemu ya fedha ya kustaafu alitolipwa baba?

Je,mali ambazo baba ilizinunua kwa pesa ya kustaafu zitagawanywa?

Na je,baba atakuwa na haki ya kukata rufaa kama mahakama itaamua kumgaia mama kiasi cha pesa zake na mali zake

nb.mali zote zimenunuliwa kabla ya mahakama kutoa talaka
 
Back
Top Bottom