msaada wa kisheria haraka!!

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee anastahili kusumbuliwa kiasi hicho??
 
hivi wanasheria hampo??
 
Hawawezi kumshitaki huyo baba yenu
 
Ninachofahamu mimi kunasheria ya kuwasaidia police kwenye upelelezi na police huwa wanaruhusiwa kumkamata mtu yyte ambaye anaweza kuwapa data fulani na kisha kumuachia, hvyo baba hatoshitakiwa ila wakimuitaji police watakuja kumfuata na watamuhoji na hki bidi watamuweka ndani ata cku 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…