naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee anastahili kusumbuliwa kiasi hicho??
Ninachofahamu mimi kunasheria ya kuwasaidia police kwenye upelelezi na police huwa wanaruhusiwa kumkamata mtu yyte ambaye anaweza kuwapa data fulani na kisha kumuachia, hvyo baba hatoshitakiwa ila wakimuitaji police watakuja kumfuata na watamuhoji na hki bidi watamuweka ndani ata cku 1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.