Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Wafanyakazi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Wiki Ilyopita Waliamua Kujitoa Kwny Chama Cha Wafanyakazi Walichokuwepo Cha TPAWU kufuatia chama icho kushinwda kuwawakilisha vema kwa mwajiri na kujiunga na chama cha TUICO, SASA chama cha zamani kimesema wakijitoa basi na mkataba wa hiari uliopo sasa unafutwa na haki zote zilizopo zinafutwa, je hiyo ndio sheria? au vitisho? je,mfanyakazi hana haki ya kujiunga na kingne cha wafanyakazi kisheria?, tunaomba wataalam wa sheria akina "PrN kazi" msaada wa haraka maana watu huku wapo njia panda