Msaada Wa Kisheria : Huku Kampuni Ya Sukari Kilombero, Wafanyakaz Njia Panda

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Wafanyakazi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Wiki Ilyopita Waliamua Kujitoa Kwny Chama Cha Wafanyakazi Walichokuwepo Cha TPAWU kufuatia chama icho kushinwda kuwawakilisha vema kwa mwajiri na kujiunga na chama cha TUICO, SASA chama cha zamani kimesema wakijitoa basi na mkataba wa hiari uliopo sasa unafutwa na haki zote zilizopo zinafutwa, je hiyo ndio sheria? au vitisho? je,mfanyakazi hana haki ya kujiunga na kingne cha wafanyakazi kisheria?, tunaomba wataalam wa sheria akina "PrN kazi" msaada wa haraka maana watu huku wapo njia panda
 
Mkuu Illovo,jazia habari yako tukusaidie. Mkataba gani unaouzungumzia? Hapo Kiwandani kuna vyama vingapi vya wafanyakazi?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kimoja Ndo Kilikuwepo Cha TPAWU, lkn sasa kuna TUICO nao wanataka kuingia na watu tayari wamejaza fomu za kujiunga, tafadhali msaada plz, mm ndiye reporter wa ukweli
 
Hujajibu la kwanza Mkuu Illovo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Illovo,jazia habari yako tukusaidie. Mkataba gani unaouzungumzia? Hapo Kiwandani kuna vyama vingapi vya wafanyakazi?

Eti Ule Mkataba Wa Hiari Yaan "CBA" Collective Bargaining Agreement, utafutwa kwa kuwa chama cha kwanza ndo kilikubaliana na mwajiri
 
Last edited by a moderator:
Eti Ule Mkataba Wa Hiari Yaan "CBA" Collective Bargaining Agreement, utafutwa kwa kuwa chama cha kwanza ndo kilikubaliana na mwajiri

CBA husainiwa na Chama cha Wafanyakazi pamoja na Mwajiri. Chama hicho cha wafanyakazi lazima kiwe kile chenye wanachama wengi kuliko kingine kama kipo. Kisheria,mfanyakazi ana hakya kujiunga na kujitoa toka chama chochote cha wafanyakazi. TPWU itabaki kwenye CBA hadi pale kitakapozidiwa na kingine katika idadi ya wanachama.

Naiona kauli ya TPWU kama mkwara tu kuzuia kukimbiwa. TUICO ianzishwe na wanachama wajiunge na kujitoa katika chama chochote. Anza na hayo Mkuu Illovo
 
Sawa Mkuu, Sasa Ikitokea TUICO ikawa na watu wengi kuliko TPAWU je CBA ilyokubaliwa na TPAWU itaendelea kutumika au ndo inakufaaa? mpaka TUICO wakae upya na kukubaliana tena na mwajiri?
 
Hiyo iko wazi.TUICO itakapokuwa na idadi kubwa ya wanachama kuliko TPAWU,mchakato wa utambuzi wa exclusive bargaining agent utaanza. Wakifanikiwa kutambuliwa hivyo,CBA itasainiwa upya-sasa na TUICO.
 
Huku Kwenye Kampuni Ya Sukari Kilombero, Kumekuwa Na Vuta Nikuvute Kufuatia Baadhi Ya Wafanyakazi Wa Kampuni Hiyo Kuamua Kujitoa Kwny Chama Cha Wafanyakazi Kilichopo Cha TPAWU, NA KUJIUNGA NA Chama Cha TUICO. Hivyo Basi Baadhi Ya Wajumbe Wa TPAWU Wanasema Haiwezekani Kuwa Na Vyama Viwili Ktk Kampuni Moja, Je Hili Jambo Ni Sheria?? Maana Hayo Yametokea Baada Ya Kuona Kwamba Watu Wengi Wamejitoa Kwny Hicho Na Kujiunga TUICO, na ivyo wao kukosa idadi ya wanachama. tunaomba wa ufafanuzi ktk ilo, maana sasa wafanyakazi wapo njia panda
 
Back
Top Bottom