Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

Kwa sasa nakushauri sana, uishi kwa tahadhari pia epuka maeneo hatarishi maana kumbandulia mtu mke inauma sana pia mke wa mtu mtamu sana kulikoni mke wako!
Pia epuka kuchat na mke wa mtu pendelea kupiga simu direct talk ili kuepusha ushahidi.
 
Kwa sasa nakushauri sana, uishi kwa tahadhari pia epuka maeneo hatarishi maana kumbandulia mtu mke inauma sana pia mke wa mtu mtamu sana kulikoni mke wako!
Mkuu mimi sijaoa, je hyo mission yao ya kwenda kwa mtendaji endapo watanijua, itakuwa na impacts zipi.?
 
Nijuavyo Mimi mpaka ukamatwe ukiwa nae katika mazingira ya ugoni hapo itakua na nguvu kisheria lakini hapo ni suala la kuhisiwa unaweza kataa kuwa nili wrong namba namhusika hakunieleza kuwa sie
 
Ila usirudie kama utapona hii dunia ukitaka maisha yako yawe mafupi penda kudinya wake za watu ,Wanafunzi, dhuluma na uwizi
 
Unaposema MTENDAJI huwa umamaanisha nani?
 
Wewe weka option ya kublock sms na no mpya..
 
Huyu mwanaume n msukuma anaeishi mkoa wa mara..... Sasa mkuu, kukamata msg kwenye cm ya mkeo akisema, "baby nakuja,"" namimi namwambia pitia ile njia ya siku ile nipo sehem fulan" na akaja kweli, hyo ilikuwa saa1:30 usiku, kwa kitendo hcho, dem aliporudi akakwapuliwa cm ili kujua alikuwa wapi, kwahayo yanatosha kuthibitisha na kuamua muachane?
Mkuu sisi wa mkoa wa Mara hatuko hivyo yani mimi kumuacha mwanamke akizingua ni kawaida sana. Huyo mwanaume atakua amelogwa, kwanza jambo liko wazi yeye anaita wazazi ili iweje. Ni jambo la kijinga sana mwanaume kukosa maamuzi.
 
Hapana mkuu, mchepuko wangu ndio umekamatiwa cm, alafu nimepita mitaa fulan jamaa kanipiga jicho hatari sana mpaka nikajifanya naongea na cm ili nipite mtaa huo....

Pamoja na hayo tujikite kwenye mada.
Akikukamata anakuf.....ra tu basi siki hizi wala hawatakagi ujinga!!
 
Kwa sasa nakushauri sana, uishi kwa tahadhari pia epuka maeneo hatarishi maana kumbandulia mtu mke inauma sana pia mke wa mtu mtamu sana kulikoni mke wako!
Pia epuka kuchat na mke wa mtu pendelea kupiga cm direct talk ili kuepusha ushaidi.
Mkuu unakuta huna usawa wa kupiga simu kila siku, alafu kwa kumuangalia kuna kitu fulan anamiss hvo anachepuka ili apate kitu hcho, bila shaka hapati faraja ndan kwake, maana muda mwingne hata akienda chooni anaenda na cm mnachart kidogooo,,,,!! Mumewe anapenda sana kucheck mpira, inamaana muda mwingine hata saa5 za ucku mume akiwa seblen mke mtu ananishtua tunachart kidogo na mpira ukiisha na kuchart kunaisha,

Mkiwa mnachart anafurahi sana hadi anasema toka awe na mimi maisha yake yamekuwa ya raha, maana jamaa muda mwingi ni kumkaripia tu.....
Mara jamaa anabandua mara mbili tu kwa mwezi....

Na vingine vingi mkuu, sasa kuacha kuchart nae huo usawa wa kupiga cm cna. Maana unajua tumepigka mtaani no ajira toka tugraduate!!

Lakini sms ya kwamba "baby njoo pitia ile njia utanikuta pa siku ile" naye akajibu "nakuja baby'' inajitoshereza kweli kuiweka kama ushahidi kuwa mke kabanduliwa? Pia kumbuka huku nyamswa tunakutana mapolini kwa wingi.
 
Nijuavyo Mimi mpaka ukamatwe ukiwa nae katika mazingira ya ugoni hapo itakua na nguvu kisheria lakini hapo ni suala la kuhisiwa unaweza kataa kua nili wrong namba namhusika hakunieleza kua sie
Kabisa maana mke naye kanikana kuwa hanijui, japo walimlazimisha walau aseme huyo mtu ni nani lakini hakusema.
 
Wewe weka option ya kublock sms na no mpya..
Mkuu natumia tigo, ina university promo, na nilishaomba vibarua sehem nikaiweka kama namba ya mawasiliano.
 
Mkuu sisi wa mkoa wa Mara hatuko hivyo yani mimi kumuacha mwanamke akizingua ni kawaida sana. Huyo mwanaume atakua amelogwa, kwanza jambo liko wazi yeye anaita wazazi ili iweje. Ni jambo la kijinga sana mwanaume kukosa maamuzi.
Mbaya zaidi hana busara, badala ya kuwaita wazazi wa binti huyu mrisya yeye akaita baba na mama yake mzazi, yaan wazaz wa mume.

Msimamo wake ilikuwa ni kufukuza, wazazi wake wakakataa!!
 
Mkuu sisi wa mkoa wa Mara hatuko hivyo yani mimi kumuacha mwanamke akizingua ni kawaida sana. Huyo mwanaume atakua amelogwa, kwanza jambo liko wazi yeye anaita wazazi ili iweje. Ni jambo la kijinga sana mwanaume kukosa maamuzi.
Pia kaoa mke mzuri na mke ni mjanja kuliko mwanaume.
 
Back
Top Bottom