Si kuvuruga mchezo tu, bali aliiba cm na kufuta sms zote hvo hana ushahidi.Kuna umuhimu sana kwa watanzania wote kujiunga na JF maana ni rahisi kumkamata mchawi wako humu. Mfano kama huyo mwenye mke akiona hii thread atajua kuwa mkewe kavuruga mchezo.
Ova.
Achana na tabia hyo ata kama mwanamke ni mzuri na mjanja kuliko mmewe bado ni mke wa mtu, nimefuatilia majibu yako inaonekana kwanza hujutii kwa kitendo chako pia unamdharau ulomfanyia hivyo na inaonekana utaendelea kutembea na wake za watu kila wakikusifia na kukutaka, kisheria hyo jamaa hawezi kukufanya kitu maana hana ushahidi mzuri, pia hata km angekuwa na ushahidi kama hajakufumania live atabaki anamlilia MUNGU wake na majibu utayapata hapa hapa Duniani tena nyie ndo huwa mnakimbilia kuua wake zenu kisa mmeona msg tu, just wait and u will see how it pains...Pia kaoa mke mzuri na mke ni mjanja kuliko mwanaume.
Pole sana mkuu, inaonekana nawew ni mhanga.Achana na tabia hyo ata kama mwanamke ni mzuri na mjanja kuliko mmewe bado ni mke wa mtu, nimefuatilia majibu yako inaonekana kwanza hujutii kwa kitendo chako pia unamdharau ulomfanyia hivyo na inaonekana utaendelea kutembea na wake za watu kila wakikusifia na kukutaka, kisheria hyo jamaa hawezi kukufanya kitu maana hana ushahidi mzuri, pia hata km angekuwa na ushahidi kama hajakufumania live atabaki anamlilia MUNGU wake na majibu utayapata hapa hapa Duniani tena nyie ndo huwa mnakimbilia kuua wake zenu kisa mmeona msg tu, just wait and u will see how it pains...
We mzito sana kuelewa aisee,hao wanyonge ndio wabaya zaidi,anaweza akuendee hata kwa mganga utupiwe jini ukafilie mbali,kuna watu yamewakuta kama hayo.Hana huo ubavuuu, kwanza akiniona ama nikkutana nae ananiogopa, hawez hata kuniangalia usoni, nikkutana nae njian anakatza njia.
Kutembea na mke wa mtu kisheria ni kosa la jinaiNaona unaweka kinyeo chako rehani kwa kutembea na mke wa mtu
kakupiga jicho la hatari?Hapana mkuu, mchepuko wangu ndio umekamatiwa cm, alafu nimepita mitaa fulan jamaa kanipiga jicho hatari sana mpaka nikajifanya naongea na cm ili nipite mtaa huo....
Pamoja na hayo tujikite kwenye mada.