Achana na tabia hyo ata kama mwanamke ni mzuri na mjanja kuliko mmewe bado ni mke wa mtu, nimefuatilia majibu yako inaonekana kwanza hujutii kwa kitendo chako pia unamdharau ulomfanyia hivyo na inaonekana utaendelea kutembea na wake za watu kila wakikusifia na kukutaka, kisheria hyo jamaa hawezi kukufanya kitu maana hana ushahidi mzuri, pia hata km angekuwa na ushahidi kama hajakufumania live atabaki anamlilia MUNGU wake na majibu utayapata hapa hapa Duniani tena nyie ndo huwa mnakimbilia kuua wake zenu kisa mmeona msg tu, just wait and u will see how it pains...