Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Jamani mimi ni mwanafunzi mwathrika wa did not secure the loan kwa kigezo ati nilimaliza Diploma miaka 3 iliyopita.
Cha kujiuliza> Mbona wakati tunaomba hicho kipengele hakikuwapo?
> Mbona maskini tugharimie mikopo halafu tusipate? Au ni taasisi gani ya mikopo inayoweza kuchukua gharama zote za mkopo halafu mteja asipate mkopo huo? Nadhani huu ni wizi.
> Kwanini wanisingizie status isiyo yangu? Eti nimemaliza Diploma miaka mitatu iliyopita wakati ni mwaka jana July 2012 ndo nilihitimu diploma ya Mawasiliano
> Mbona sis walipa kodi wengine tubaguliwe?
> Hivi kwa haya yote kuna sababu ya kuipenda nchi yangu?
Msaada wadau nimestuck.