Msaada wa Kisheria juu ya Kuishtaki HESLB

Msaada wa Kisheria juu ya Kuishtaki HESLB

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Jamani mimi ni mwanafunzi mwathrika wa did not secure the loan kwa kigezo ati nilimaliza Diploma miaka 3 iliyopita.

Cha kujiuliza> Mbona wakati tunaomba hicho kipengele hakikuwapo?
> Mbona maskini tugharimie mikopo halafu tusipate? Au ni taasisi gani ya mikopo inayoweza kuchukua gharama zote za mkopo halafu mteja asipate mkopo huo? Nadhani huu ni wizi.
> Kwanini wanisingizie status isiyo yangu? Eti nimemaliza Diploma miaka mitatu iliyopita wakati ni mwaka jana July 2012 ndo nilihitimu diploma ya Mawasiliano
> Mbona sis walipa kodi wengine tubaguliwe?
> Hivi kwa haya yote kuna sababu ya kuipenda nchi yangu?

Msaada wadau nimestuck.
 
Tunaitaji generation ya watu wenye mitazamo kama ya mtikila wakati ule,kwa maoni yangu wakitokea wanasheria competent wakajiorganize HELSB wanaweza kushitakiwa kabisa kwa kubagua watanzania katika utoaji wa Mikopo,katiba ya Tanzania juu ya haki sawa na haki ya elimu inaweza kuchambuliwa na then shitaka likaandaliwa kwa kubagua baadhi ya watanzania katika utoaji wa mikopo:
1.Course priority na non priority[criteria]
2.Mtoto kusoma private kama kigezo cha kubaguliwa na kunyimwa mkopo[uwezo wa wazazi sio constant,mfano leo una ajira kesho hauna,leo baishara ni nzuri kesho ni mbaya,leo ni kijana na kesho ni mzee,leo uko hai na keso umekufa]hivyo mtoto kusoma private kisiwe kigezo au kosa la kumfanya akose mkopo-hapa kuna factors nyingi sana za kuangalia na sio tu kwamba kasomea A level na O-level private.Ni wangapi wenye uwezo sana watoto wao wanasomea Goverment,na ni mama Ntilie wangapi ambao ujinyima hata vitu vya msingi katika maisha ili watoto wao wasome shule nzuri,ni wangapi wanasomeshwa na wasamalia wema au majirani shule za private.Mi nafikiri mizania ya kutoa mikopo au kutotoa iwe fair na isiangaliwe vigezo vya kipumbavu kama kusomea private.
3.Ni bora ukiondoa wenye matatizo kama uyatima etc Watanzania wote waka benefit angalau kwa 50 /PERCENT kuliko kutumia vigezo ambavyo ni un realistic kubagua watanzania katika utoaji wa mikopo
PLEASE WANASHERIA WANAOWEZA KUENDESHA HII CASE PROBONO TAIFA LITAWAKUMBUKA,TAKE UP THE LEAD
 
Back
Top Bottom