meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,192
Nyani nakuona Instagram na wabebez wakali sana...ila hautaki kuwa tag.Ahahahaaaa!
I swear I know who are involved in this.
Ahahahaaaa!!
Nyani nakuona Instagram na wabebez wakali sana...ila hautaki kuwa tag.
Naomba ubuyuAhahahaaaa!
I swear I know who are involved in this.
Ahahahaaaa!!
Wewe utakuwa popoma,wakati anakugegeda hukwenda kuangalia sheria inasemaje juu ya kugegedwa na kushika mimba bila ndoa.Jua tu jambo moja.Ili upate malezi ya mwano basi ni kwa huruma ya huyo baba yake.Sheria sana sana itakufanye uwe kichaa kwani uwezekano wa kupata matunzo kwa mujibu wa sheria na kisha kumfanya yeye ndo atekeleze ni mdogo sana.Nakuona tu jinsi unavozurura na Mimba yako.Na kwa jinsi ulivoandika hii post inaonekana una kisirani cha mimba kabisa....Ila kwa ushauri tu kwa sasa we sukuma tumbo,mtoto akizaliwa mjulishe,akikataa kumtunza angalia mawili,kama una uwezo wa kumtunza umtunze tu mwenyewe,kama huna uwezo basi uongeze biddi kwenye kazi.Nina ujauzito wa mtu ambae baada ya kugundua nina ujauzito akaanza visa vya kunikwepa na kunikana.
Sasa naona anataka anitelekeze na kuniachia majukumu mwenyewe. Amesema nijifungue kisha tutaongea na kuna muda hataki kabisa kugusia hilo swala.Ujauzito ni wa miezi mitano.
Nilikua na ndoa ila tulitengana ndipo nikajikuta niko na huyu bwana,
Je nikijifungua haki za mwanangu ni zipi? Niko tayari kupima vinasaba ili ajihakikishie kua yeye ndie mzazi wa mtoto atakae zaliwa maana kuna wakati alianza kuleta maneno kua haniamini.
Kikubwa ninachohitaji ni matunzo kamilifu kwa mtoto.
Naomba msaada juu ya hili.
Swali LA msingi sana hiliwakati mnapeana mimba mlituambia