Msaada wa Kisheria juu ya Ndoa na Mali.

ikiwa document zote za umiliki ni halisi na kisheria basi mahakama haiwezi kugawa kama urithi mali amabazo kisheria sio za marehemu.

Muhimu ndugu wenye mali wanasemaje kumsaidia mama pamoja na watoto ? yaani hawana hata chembe cha huruma?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tafsiri yako balaa!! Kuna watu tu asili Yao ni wabinafsi........ Asante kwa mchango wako.

Achana na huyu, it seems ni vijana wa humu JF, mtu mxima huwezi andika hivyo unless you are a senile imbecile
 
Asante sana
 
Siyo ujeuri ndugu yangu ni namna ambavyo anajaribu kuwasaidia watoto wake ingelikuwa siyo watoto Hata asingefuatilia chochote mbaya zaidi ndugu za mumewe ndo hivyo hawataki kuwasaidia watoto.
 
dah kuna watu ni wanyama yaani watoto wote watano ambao ni damu yao hawataki kuwasaidia.🙁
 
Siyo ujeuri ndugu yangu ni namna ambavyo anajaribu kuwasaidia watoto wake ingelikuwa siyo watoto Hata asingefuatilia chochote mbaya zaidi ndugu za mumewe ndo hivyo hawataki kuwasaidia watoto.
Ukiona marehemu hakuona umuhimu kuhusu watoto bila shaka alikuwa na walakini kuhusu uhalali wa watoto hao kuwa wake.
Ajuae ukweli kuhusu mimba na watoto ni mwanamke.!
 
Ukiona marehemu hakuona umuhimu kuhusu watoto bila shaka alikuwa na walakini kuhusu uhalali wa watoto hao kuwa wake.
Ajuae ukweli kuhusu mimba na watoto ni mwanamke.!
Ni kweli kabisa haya mambo yapo,ila Uzuri kwa upande wao aisee hata macho yadanganyi watoto wote ni copy&paste ya baba,Yule shemeji yetu alikuwa mkatili tu alikuwa anaona mwanamke akimiliki Mali atamzidi akili sasa matokeo yake ndo hivyo aliowaamini wamemuangusha.
 
Kuna wanaume wabinafsi sana

Sasa watoto watabaki wakitanga tanga bila sababu

Wakati baba aoijuwa na mali
 
Imekula kwake Hugo mama. Aombe asali ili Rehema ya mungu iwapate waliomilikishwa kihalali. Lakini Hugo mzee alikuwa Mnyama sana. Unaoaje mwanamke anakuwa golikipa tu wakukaa nyumbani halafu humwandikishi chochote
Usihukumu maana huwezi jua yamkini huyo mama awali alitenda unyama sana sasa jamaa kajihami,
 
Inaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…