Mimi ni mkulima kila mwaka majirani zangu wamekuwa wakilima mashamba yao kwa kutumia ng'ombe.tatizo wanavukisha na kukanyaga shamba langu hata kama tiyari nimepanda mazao
Mimi ni mkulima kila mwaka majirani zangu wamekuwa wakilima mashamba yao kwa kutumia ng'ombe.tatizo wanavukisha na kukanyaga shamba langu hata kama tiyari nimepanda mazao
Mkuuu hapo ni maelewano yako tu na majirani achana na mambo ya kesi maana inaonesha unataka kuwafungulia migogoro majirani,mtafut balozi muelez haya na myamalize kwa hekima,unajua swal la kukanyagwa sio la makusudi Bali ni kukosekan kwa plan B kwa majirani,ulitaka wageuzie ngombe zao angani duuuu mkuuu badilik,ww ukanyagagi za wengine,unapotoka kwako hadi kazin kwak unakanyagaga arch yak tu sio ya wengine sio,kuwa huru haya maisha hayaitaji nguvu Bali hekima tu,ahsante