seannockward
New Member
- Dec 26, 2018
- 1
- 1
Mimi ni mkulima kila mwaka majirani zangu wamekuwa wakilima mashamba yao kwa kutumia ng'ombe.tatizo wanavukisha na kukanyaga shamba langu hata kama tiyari nimepanda mazao
Nahitaji kujua sheria inasemaje kuhusu hili
Nahitaji kujua sheria inasemaje kuhusu hili