Salaam wana jukwaa!!Naomba msaada wa ushahuri wa kisheria wa namna ya kumshitaki mtu niliyemuuzıa malı zangu kwa mkopo lakıni amegoma kunilipa.Ni mfanyabiashara na ana uwezo wa kulipa deni ila anakataa makusudı na kudai kuwa hana hela na deni halifungi.Ni mamlaka zipi naweza kumfungulia mashtaka??Je anaweza kulazimishwa na mamlaka hizo kulipa?