Msaada wa kisheria kuhusu Haki za Mgeni Tanzania

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,320
Habari zenu Wanasheria... Ninaomba msaada wa kunielewesha kuhusu haki za Mtanzania aliyeukana Uraia wa Tanzania na Kuchukua uraia wa Nchi nyingine lakini bado anataka kuendelea na Maisha yake hapahapa Tanzania.

Kumbukeni mtu huyo amezaliwa Tanzania, Amesoma na Kukulia Tanzania..... Mama yake ni Mtanzania ila Baba ni Raia wa hiyo Nchi aliyochukua Uraia wake wa sasa.

Je? Utaratibu wake wa kuendelea na maisha yake ya kawaida Tanzania upoje?

*Mtanisamehe kuhusu uandishi*
 
Upande upi? Haki zipo nyingi unazungumzia haki gani? Nenda straight kwenye swali! Utasaidiwa kwa haraka, ikibidi weka maswali hata 5, kuliko hivi unavyotaka kufahamishwa itakua ngumu!
 
Upande upi? Haki zipo nyingi unazungumzia haki gani? Nenda straight kwenye swali! Utasaidiwa kwa haraka, ikibidi weka maswali hata 5, kuliko hivi unavyotaka kufahamishwa itakua ngumu!

Mfano Haki ya kufanya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…