kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Habari zenu Wanasheria... Ninaomba msaada wa kunielewesha kuhusu haki za Mtanzania aliyeukana Uraia wa Tanzania na Kuchukua uraia wa Nchi nyingine lakini bado anataka kuendelea na Maisha yake hapahapa Tanzania.
Kumbukeni mtu huyo amezaliwa Tanzania, Amesoma na Kukulia Tanzania..... Mama yake ni Mtanzania ila Baba ni Raia wa hiyo Nchi aliyochukua Uraia wake wa sasa.
Je? Utaratibu wake wa kuendelea na maisha yake ya kawaida Tanzania upoje?
*Mtanisamehe kuhusu uandishi*