Msaada wa kisheria kuhusu kazi zisizo na mikataba

Msaada wa kisheria kuhusu kazi zisizo na mikataba

vumb

New Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana JF

Nimefanya kaz na kampuni moja binafsi katka project inayoitwa TSCP (Tanzania Strategic Cities Project), katika kazi hiyo tulikubaliana na mwajiri wetu kwa mdomo pasipo kuandikishiana popote kuwa tutalipwa mara baada ya kazi kuisha.

Tulimwamini kwa sababu tulishafanya nae kazi kwenye mradi kama huo sehemu nyngne na alitulipa bila matatizo though alichelewa kwa miez km mitatu hv.Sasa kwenye huu mrad wa huu mkoa mwingine yapata mwaka sasa hatak kutulipa ilhal twajua ameshalipwa serikarin.

Wadau mnaojua sheria tusaidien vipi tunaweza kupata haki yetu?
 
Kama hamkuwekeana ukomo wa kulipana nadhani ni busara kuendelea kumsubiri. Kauli kwamba 'alikwisha lipwa na serikali'nadhani inaonesha tayari mmeshapoteza imani kwa muajiri wenu na kwamba mmechimba chimba kujua yote haya!
 
Back
Top Bottom