Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
Thanx kwa ushauri.nilimpa hizo pesa kwa cash.nilizotoa kwenye account yangu then nikampa.hatukuandikishishana coz ni mume wangu.so ndo maana nilimpa bila maandishi..mbele ya ndugu zangu na ndugu zake anakiri kuwa nilimpa hizo pesa.but hasemi ni lini atarudisha na me natakiwa nilipe hizo pesa.nilishawahi kumpeleka kwa mchungaji wake na akakubali kuwa namdai na atalipa.je naweza kumtumia kama shahidi?nimejifunza ndugu yangu sitamkopesha yeyote bila maandishi.Unaweza au usiweze kuzipata hizo pesa. Hili litategemea kama kulikuwa na mkataba kati yenu. Mkataba sio lazima uwe kwa maandishi. Ila ukiwa wa maandishi ni rahisi kudhibitisha. Pia inategemea kama ulimpatia hizo pesa kama zawadi au mkopo. Tatizo linakuja kwenye ushahidi. Hakuna maandishi (promissory note) kudhibitisha kuwa ulimkopesha na aka-promise kukurudishia hizo pesa baada ya muda fulani. Ulimpaje hizo pesa? Kwa hundi or bank transfer? If so, unaweza kutumia hizo kama ushahidi. Lakini kama ulimpa cash itakuwa ngumu unless kama kuna watu walioshuhhudia ukimkabidhi hizo pesa kama mkopo. Kati ya hizo milioni 5, hajawahi kukurudishia hata kidogo? Kama amekurudishia kidogo unaweza kutumia hiyo kama ushahidi kuwa unamdai ndio maana amekurudishia kidogo. Still bado ni ngumu na itategemea alikurudishia kwa njia gani.
Katika kukopeshana huko mlishawahi kuwasiliana kwa text messages or email? Kama kuna correspondences kama hizo unaweza kuzitumia kama ushahidi wa mazingira kujaribu kuonyesha kuwa ulimkopesha. Pia hizo pesa alienda kuzifanyia nini? Kwa mfano kama alizitumia kupata bail, then unaweza tumia hiyo bail kama ushahidi. Still hii bado ni ngumu. Kama huna ushahidi wowote kilichobaki labda yeye mwenyewe akubali kuwa unamdai. Otherwise, itakuwa vigumu sana kumshtaki na kushinda kesi. Anaweza akakataa au akasema tuu kuwa ulimpatia hizo pesa kama zawadi (gift). Hata kama una ushahidi wa kutosha, pia angalia kama huyo jamaa kama ana uwezo wa kulipa ukimpeleka mahakamani. Usije ukakuta unaingia gharama za bure na kupoteza muda wako.
Lakini nafikiri hapa utakuwa umepata fundisho ili usirudie kosa kama hilo. Sina maana kuwa usimkopeshe mtu tena kwa sababu iko siku na wewe utahitaji kukopa. Huwezi jua. Cha kujifunza hapa ni kwamba, next time ukikopesha jaribu kutengeneza ushahidi in case akikataa kulipa. Badala ya kumlipa cash tumia njia nyingine kama hundi au bank transfer kutoka kwenye account yako kwenda yake. Tengeneza mazingira ili mtumie mawasiliano ya kimaandishi zaidi wakati anaomba mkopo. Kuandikiana mikataba inategmea na mahusiono yenu na kiasi cha mkopo. Kama mkopaji anasisitiza umkopeshe kwa cash badala ya hundi or bank transfer, au anakataa kutumia aina fulani ya mawasiliano, then think twice.
Thanx kwa ushauri.nilimpa hizo pesa kwa cash.nilizotoa kwenye account yangu then nikampa.hatukuandikishishana coz ni mume wangu.so ndo maana nilimpa bila maandishi..mbele ya ndugu zangu na ndugu zake anakiri kuwa nilimpa hizo pesa.but hasemi ni lini atarudisha na me natakiwa nilipe hizo pesa.nilishawahi kumpeleka kwa mchungaji wake na akakubali kuwa namdai na atalipa.je naweza kumtumia kama shahidi?nimejifunza ndugu yangu sitamkopesha yeyote bila maandishi.
wanajf ninaomba msaada wa kisheria kuhusu hili.namdai mtu shilingi milioni tano.hatukuandikishana popote nilipokuwa nampa hizo pesa.yeye anakiri kwamba namdai ila kulipa ndo anasumbua.nimejaribu kumuomba tukaandikishane anakataa.je nifanyeje ili niweze kupata pesa zangu?
Duuh kumbe ulimkopesha mmeo na leo umekuja kumwandika hapa ..Hii ndoa ipo kweli?
Thanx kwa ushauri.nilimpa hizo pesa kwa cash.nilizotoa kwenye account yangu then nikampa.hatukuandikishishana coz ni mume wangu.so ndo maana nilimpa bila maandishi..mbele ya ndugu zangu na ndugu zake anakiri kuwa nilimpa hizo pesa.but hasemi ni lini atarudisha na me natakiwa nilipe hizo pesa.nilishawahi kumpeleka kwa mchungaji wake na akakubali kuwa namdai na atalipa.je naweza kumtumia kama shahidi?nimejifunza ndugu yangu sitamkopesha yeyote bila maandishi.
Thanx kwa ushauri.nilimpa hizo pesa kwa cash.nilizotoa kwenye account yangu then nikampa.hatukuandikishishana coz ni mume wangu.so ndo maana nilimpa bila maandishi..mbele ya ndugu zangu na ndugu zake anakiri kuwa nilimpa hizo pesa.but hasemi ni lini atarudisha na me natakiwa nilipe hizo pesa.nilishawahi kumpeleka kwa mchungaji wake na akakubali kuwa namdai na atalipa.je naweza kumtumia kama shahidi?nimejifunza ndugu yangu sitamkopesha yeyote bila maandishi.
Duuh kumbe ulimkopesha mmeo na leo umekuja kumwandika hapa ..Hii ndoa ipo kweli?
Ndoa imeingia bundi hiyo!
nilishawahi kumpeleka kwa mchungaji wake na akakubali kuwa namdai na atalipa.je naweza kumtumia kama shahidi?.
Thanx.kwa sasa naangalia navyoweza kurecover my money,hayo mambo mngine just waitKama ni mume wako, then itakuwa ngumu zaidi. Kwenye sheria za mikataba kuna kitu kinaitwa "intention to create legal relations" kwa kiswahili "kusudio la kuunda mkataba wenye nguvu ya kisheria." Kusudio la kuwa na nguvu ya kisheria katika uundaji mkataba ni kipengele muhimu sana ambacho mahakama huangalia ili kuweza kuona kama kweli wahusika walikuwa na haja ya mapatano yao kuwa na nguvu ya kisheria. Kama wakati mnaingia kwenye huo mkataba hamkuwa na kusudio la mkataba kuwa na nguvu ya kisheria, hautaweza kushinda mahakami. Kwa maneno mengine ni kuwa ili uweze kumshtaki mume wako kwa kuvunja mkataba lazima muwe mlikusudia mwanzoni kabisa kuwa hayo makubaliano ya kukopeshana yatakuwa na nguvu ya kisheria.
Sasa kuna presumption kwenye sheria kuwa mikataba kati ya wanafamilia (acha ile ya kibiashara) haina kusudio la kuwa na nguvu ya kisheria. Kama unaelewa Kingereza ni hivi: "Where an agreement is reached between family members or friends in a domestic context, then the presumption is that there is no intention to create legal relations." Lakini unaweza kupinga hili mahakani kama una ushahidi unaonyesha kuwa wakati mnaingia kwenye huo mkataba mlikusudia uwe na nguvu ya kisheria. Kwa maana nyingine yalikuwa ni makubaliono ya kibiashara zaidi kuliko ya kifamilia. Kwani uhusiano wenu wakati unamkopesha na sasa ukoje? Kama ni mzuri kesi itakuwa ngumu. Kama sio mzuri mfano wakati unamkopesha mlikuwa kwenye process ya kutengana, then unaweza kusema makubaliano hayakuwa ya kifamiliaj. Whatever, the case bado una kesi ngumu.
Thanx.kwa sasa naangalia navyoweza kurecover my money,hayo mambo mngine just wait
Huyo mtu wako yupo hapa
na anasema anachotaka yeye ni pesa zake umrudishie
kwa nini usimrudishie hizo pesa yaishe?????????????????
Wakuu heshima mbele jamani nisaidieni nifanyeje m2 anapokupakazia anakudai anapita kwa marafiki ndugu na wote wanaokujua ana kielelezo chochote akiambiwa mpeleke polic ataki mkikutana 2 anakwambia nitakuabisha mpaka ujute naitaji kukomesha hii hali mana utani utani imeanzakuwa kero
Hapo kwenye red nachukulia hakudai. Then, anachokifanya inaweza kuwa slander (malicious, false, and defamatory spoken statement with the intention to damage your reputation). Kusanya ushahidi wa anayokutendea if possible record kwenye diary. Akizidi mpe formal warning aache. Asipoacha chukua hatua za kisheria.
mkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa nimemrecord nina sms zaidi ya 600 na rb ninazo zamatukio mbalimbali nimempa warning ackii nipo kwenye proces ya kumwona lawyer ili nidai compasation kwa kunichafulia jina langu
Hapo kwenye red nachukulia hakudai. Then, anachokifanya inaweza kuwa slander (malicious, false, and defamatory spoken statement with the intention to damage your reputation). Kusanya ushahidi wa anayokutendea if possible record kwenye diary. Akizidi mpe formal warning aache. Asipoacha chukua hatua za kisheria.
Mkuu EMT ninavyoona hawa watu wanafahamiana na there is a personal issue between the two. Inawezekana pia kuwa kuna madai au hakuna madai na wanachafuliana. Maana kila anachojibu jamaa kuna mtu hapa anaitwa Mary Glory anamjibu kuwa anamdai na personal issues nyingine. Naona kwanza jamaa angekuwa wazi kuwa hadaiwi na hakuna issue between the two bdo utoe msaada kisheria maana naona kama unajitahidi kutoa msaada kisheria wakati it seems there is a hidden agenda