Msaada wa kisheria kuhusu madai

Bugasarai

Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
74
Reaction score
240
Habari za majukumu wadau.
Nina stationery yangu nimefanya kazi ya kichapisha mitihani ya shule flani ya secondary (Government school) mwezi wa 11 mwaka 2017 kwa makubaliano kwamba baada ya kazi watanilipa kama ilivyo kawaida ya tender za serikali.
Wadau baada ya kazi hadi leo sijalipwa hata shilingi 100, msaada wenu wakuu ni hatua ipi nichukue ili nilipwe haki yangu, maana naambiwa tu nivumilie wakati pesa yangu haizai...naombeni msaada nifanyeje ili nilipwe pesa yangu wakuu.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Ahsante mkuu na samahani kwa usumbufu, demand notice ndo inakuaje mkuu
Wala hamna usumbufu!!
Demand notice ni notice ambayo inakuwa in form of official letter ambapo unamu-address mdai wako kuhusu deni lako kwake na mwisho unampa a sort of THREAT kwamba asipokulipa within time utakayompa kwenye hiyo barua or notice utapeleka shauri mahakamani. Faida ya demand notice ni; endapo utashinda kesi yako dhidi yake atalazimika kukulipa gharama zote ulizotumia kwenye kuendesha kesi yako sababu ulimpa chance alipe mwanzo ila hakutaka.
 

kwa kuwa shule ni ya serikali utaratibu wake wa madai ni wa tofauti kidogo na kama ingekuwa ya mtu binafsi.

Mtu binafsi unaweza mpa siku 14, lakini serikali local /central government ni tofauti... upo mkoa gani mkuu?
 
kwa kuwa shule ni ya serikali utaratibu wake wa madai ni wa tofauti kidogo na kama ingekuwa ya mtu binafsi.

Mtu binafsi unaweza mpa siku 14, lakini serikali local /central government ni tofauti... upo mkoa gani mkuu?
Chief sms yangu mbna ckuweka mda!?????, shule ziko kwenye local government so siku ni 30 with intention to sue
 
Chief sms yangu mbna ckuweka mda!?????, shule ziko kwenye local government so siku ni 30 with intention to sue
nilichotaka ni kumueleza jamaa kuwa time limi kati ya mtu binafsi na serikali ni tofauti, hapo angeweza kuwapa siku au 7
 
Muona mwansheria/wakkili uw na uahkika unachokifanya.
Ila mna mkataba wa kufanya kazi hiyo? Terms zake zikoje?
kama kuwashitaki kuna ka mlolongo kidogo.
1. Unatoa statutory 90 days notice of intention to sue... Kusudio la kushitaki,,,, unampa Mkuu wa shule; copy kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali, Labda na katibu Mkuu wa wizara ya elimu!... Hakuna format ya kuandika notice hiyo, ila kuna vitu muhimu lazima uvitaje. (ndio maana nasema muone wakili). unasubiri majibu, asipo jibu unaenda mahakamani.. muone wakili, hapa kuna utaalamu wa sheria namna ya kuandika madai yako na namna ya kuyapeleka malalamiko yako mahakamani.. kesi ya madai....
 
Nawashukuru sana wote mlionipa mawazo, nimepata pa kuanzia sasa, nitafanyia kazi maoni yenu wote wakuu na nitaleta mrejesho...Mwenyezi Mungu awabariki sana
 
Uliandika contract au maneno tu?
 
kwa kuwa shule ni ya serikali utaratibu wake wa madai ni wa tofauti kidogo na kama ingekuwa ya mtu binafsi.

Mtu binafsi unaweza mpa siku 14, lakini serikali local /central government ni tofauti... upo mkoa gani mkuu?
Kwa sheria ngani mtu binafsi siku 14, na utofauti upi uliopo kati ya mtu binafsi na Serikali?. Mkoa aliopo kisheria ina implication gani?.
 
You're running into the jungle. "Civil procedure"
 
Uliandika contract au maneno tu?
Sio lazima kuandika contract, maneno au conduct in ushahidi tosha wa mkataba husika. Mradi wakati wa kusikiliza shauri uonyeshe mahakama ushahidi huo was conduct.
 
You're running into the jungle. "Civil procedure"
Exactly! ingawa kwa sasa Court of appeal imefanya mageuzi makubwa kuhusu matumizi ya hizi rules.. procedural justice against substantive justice. If these procedure do not occasion failure of justice, a judge can do away with them! sagaciR jaribu kusoma hii unipe mawazo yako please naona wewe unayafahamu haya mambo! please
 

Attachments

Kila kesi huamriwa kulinga na mazingira yake. Kwa kesi kama yako "business oriented" so ni muhimu kuwa na "customers holding".

Kuna vitu viwili katika masuala ya kisheri (a) ADR/Alternative dispute resolution (yaan kukaa meza 1 na kumaliza mgogoro na (b)Litigations (kuburuzana mahakamani kwa taratibu za kimahakama (PLEADINGS).

Ili kuendelea kuwa na mteja wako na mwaka huu 2018 km ilivyokuwa 2017 tumia ADR Nenda kwa mkurugenzi (DED) wa H/W shule ilipo (yy ndio mmiliki shule ni mali/asset) kuonana ana kwa ana mkae meza moja na DEO (Secondary) akiwepo mlimalize kwa amani.

Kama deni ni chini ya 50,000,000 ukitaka kutumia njia (b) basi utatakiwa kuwaandikia kusudio la kuwashitaki endapo hawatakulipa pesa yko ndani ya ck 30 kwa mujibu wa kifungu cha 190 cha Sheria ya Serikali za mitaa (mamlaka ya Wilaya) Sura Na 287. Na kisudio hilo umpe DED ama Mwenyekiti wa H/W hiyo. Na hakuna nakala popote.

Kama pesa unayodai inazidi 50,000,000 utamuunganisha mwanasheria mkuu wa Serikali kama mdai namba 2 (necessary party).
 
Kwenye hiyo case (CRDB) mahakama iliona P.O za wajibu rufaa haziendi kwny msingi wa kesi kama ilivyowahi kuamriwa katika shauri la "Mukisa Biscuits Manufacturers Co. Ltd. V. West Distributors Ltd (1969). E.A. 696". The omission cana be cured by AMENDMENT as regards to the name DG instead of GD

Ila hii HAIMANISHI hata pale ambapo mtu amefanya kinyume na kanuni za madai (eg CPC CAR 2009, rules of Affidavits, etc) kanuni zisiangaliwe HAPANA. "Rules of procedure are handmaids of justice"

NB: Kwa ufupi hizo P.O walizotoa wajibu rufaa hazikizi vigezo vya P.O.
 
Fine lakini umeona comments za FB zilivyo? It is as if now judges are allowed to relax these rules as long as they do not occasion a failure of justice, ndivyo nilivyoelewa!
 
Mkuu Retired: Hebu chukulia kwa precedence hiyo na comments za FB ww ulivyozielewa, Je mtu akipeleka maombi (Application) na hati yake ya maombi akakosea kifungu ama akaacha kutaja kifungu chochote. (WRONG AND/OR NON CITATION OF THE LAW OF SECTION/SUBSECTION) Mahakama itaendelea na shauri/ombi licha ya mleta maombi kakosea sheria/kifungu ama bila kutaja chochote?.

"My issue is whether wrong or non citation of Law, section/subsection will, from this precedence be overlooked in our Jurisdiction?"
Fine lakini umeona comments za FB zilivyo? It is as if now judges are allowed to relax these rules as long as they do not occasion a failure of justice, ndivyo nilivyoelewa!
 
Kwa nilivyoelewa na comments za FB zina suggest hivyo! Wrong or non citation are not detrimental to either party. After all the Judge is supposed to know the law without the aid of the advocated! Kama uko kwenye bar, seek further clarification on that from your fellows!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…