Habari za majukumu wadau.
Nina stationery yangu nimefanya kazi ya kichapisha mitihani ya shule flani ya secondary (Government school) mwezi wa 11 mwaka 2017 kwa makubaliano kwamba baada ya kazi watanilipa kama ilivyo kawaida ya tender za serikali.
Wadau baada ya kazi hadi leo sijalipwa hata shilingi 100, msaada wenu wakuu ni hatua ipi nichukue ili nilipwe haki yangu, maana naambiwa tu nivumilie wakati pesa yangu haizai...naombeni msaada nifanyeje ili nilipwe pesa yangu wakuu.
Natanguliza shukrani zangu.