Msaada wa kisheria kuhusu madai

Msaada wa kisheria kuhusu madai

Kama madai yenyewe ni ya pesa ndefu ni bora uweke mwanasheria. Ila kama madai yenyewe labda ni milioni moja halafu mwanasheria atake laki3 au 5 hiyo ni hasara mkuu. Tafuta namna ya kudai pasipo kuongeza gharama
 
Kwa nilivyoelewa na comments za FB zina suggest hivyo! Wrong or non citation are not detrimental to either party. After all the Judge is supposed to know the law without the aid of the advocated! Kama uko kwenye bar, seek further clarification on that from your fellows!
Mkuu retired: Mimi ni miongoni mwa wanataaluma ambao napenda sana kujifunza na kushare Law field na wenzangu, coz naamini tunatofautiana AREAS OF INTEREST kwan sheria ni taaluma pana, kama taaluma zingine.

MY TAKE: Sijui kama wewe ni FB associate ama laa, but umejikuta unaamini sana kila maoni ya musomi mwenzako ilimradi tu ni FB source: Ukisoma kwa makini hiyo pdf paper ya FB hapo juu mwanzoni kabsa maandishi ya meusi yamekolezwa (BOLDED) yaan HELDING ya CAT utaelewa bila hata kusoma paper yote.

NB: FB comments whether are right or wrong are neither BINDING nor PRECEDENCE. while CAT judgement itself is binding and a precedence which you can read and settle you mind on legal position in rivals.

HEREOF IS AN ATTACHED CAT JUDGMENT OF THE SAID CASE (Civil Appeal No. 139/2017) the same I crave to read in its four conners. Henceforth attached and Delivered hereof by the said SagaciR (LL.B, Hons. UDSM 2012)View attachment CIV APPEAL NO. 139 of 2017.pdf
 
Ahsante mkuu na samahani kwa usumbufu, demand notice ndo inakuaje mkuu
Seek a proper legal advise from a professional. Taarifa yako haijakamilika. Je mna mkataba halali, je wewe unaendesha kazi zako kwa mujibu wa sheria? Wamekwambia kwa maandishi kwa mdomo? Au unataka umshitaki nani? Mkuu wa shule? Bodi au mwenye shule=serikali? Usiwe na mkono wa birika seek a professional guidance.
 
Back
Top Bottom