Msaada wa kisheria kuhusu mafao

Msaada wa kisheria kuhusu mafao

Joined
Mar 26, 2018
Posts
72
Reaction score
59
Habarini wana jamvi.

Ningependa kujua haki za kisheria za mwanachama wa mfuko wa jamii baada kufikia ukomo wa mkataba wake wa kazi na kukuta kampuni husika haikuwa ikipeleka mafao kwa zaidi ya mwaka.

Baada ya mkataba kuisha muda wake, mwanachama anataka kuchukua hela anakuta za mwaka mmoja huku mwingine mwaka mwingine haupo, baada ya kufuatilia kampuni kwa miezi kadhaa lakini mambo yanaonekana bado ni magumu.

Ni hatua gani mtu anatakiwa kuchukua? Na sheria ya Tanzania inasemaje kuhusu hili?

Msaada please.
 
Back
Top Bottom