Ndio, una swali lingine?; Je, mkewe ana haki ya kurithi mali za marehemu kama mjane?
Kulikua na ishu Kama hii mahakamani na hakimu alisema ukiishi na mke Kwa miezi sita anakuwa ni mke kisheria na anahaki ya mgao. So ushahidi wa ndugu wa mume na serikali ya mtaa utahitajika kuthibitisha Kama alikua mke wa marehemu mengine yatajisumbukia yenyewe.Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee baadaye aliaga dunia akiwa anaishi peke yake kwenye nyumba yake, swali langu la msingi ni; Je, mkewe ana haki ya kurithi mali za marehemu kama mjane?
Kuna sheria ya dini na serikali... Kwa kidini ya kiislaam anarithi tu madhali hakukuwa na talaka. Na sehemu ni 1/8 ya mali yote.Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa. Mzee huyo na mkewe baadae wakawa hawaishi pamoja kwa zaidi ya miaka 20 ingawa hawakupeana taraka. Mzee baadaye aliaga dunia akiwa anaishi peke yake kwenye nyumba yake, swali langu la msingi ni; Je, mkewe ana haki ya kurithi mali za marehemu kama mjane?
Mtu mume na mtu mke watadhaniwa kuwa mume na mke ikiwa wataishi chini ya paa moja kwa muda usiopungua miaka miwili na jamii inayowazunguka kuwachukulia kama mume na mke.Kulikua na ishu Kama hii mahakamani na hakimu alisema ukiishi na mke Kwa miezi sita anakuwa ni mke kisheria na anahaki ya mgao. So ushahidi wa ndugu wa mume na serikali ya mtaa utahitajika kuthibitisha Kama alikua mke wa marehemu mengine yatajisumbukia yenyewe.