Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Ndo nilitaka kujua hili suala maana nimekutana na hili suala baada ya kutaka kuacha kazi naambiwa mkataba ume renew wakati mm najuia uliisha na siku sain mwingineAutomatic renewal ni kuhuisha mkataba pindi unapoisha. Yaani mkataba wenyewe unajihuisha. Lakini ili hilo lifanyike ni lazima hiyo clause iwepo ndani ya mkataba na iseme hivyo explicitly.
Na hiyo automatic renewal lazima iambatane na masharti fulani hivi kwa sababu, pamoja na kwamba kuna automatic renewal, bado huo ni mkataba wa muda na siyo mkataba wa kudumu