Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

Automatic renewal ni kuhuisha mkataba pindi unapoisha. Yaani mkataba wenyewe unajihuisha. Lakini ili hilo lifanyike ni lazima hiyo clause iwepo ndani ya mkataba na iseme hivyo explicitly.

Na hiyo automatic renewal lazima iambatane na masharti fulani hivi kwa sababu, pamoja na kwamba kuna automatic renewal, bado huo ni mkataba wa muda na siyo mkataba wa kudumu
 
Asante. Ndo nilitaka kujua hili suala maana nimekutana na hili suala baada ya kutaka kuacha kazi naambiwa mkataba ume renew wakati mm najuia uliisha na siku sain mwingine
Na nimewaambia kipengele hiko hakipo kwenye mkataba wangu ila bado wanasema sheria ndivyo ilivyo, hivyo nikaitaji kujua conditions ya hiyo automatic renewal of contract inakuaje
 
Back
Top Bottom