Automatic renewal ni kuhuisha mkataba pindi unapoisha. Yaani mkataba wenyewe unajihuisha. Lakini ili hilo lifanyike ni lazima hiyo clause iwepo ndani ya mkataba na iseme hivyo explicitly.
Na hiyo automatic renewal lazima iambatane na masharti fulani hivi kwa sababu, pamoja na kwamba kuna automatic renewal, bado huo ni mkataba wa muda na siyo mkataba wa kudumu