Madama gashimba
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 321
- 118
Mbona ata iyo mistari unayotumia km nguzo ya hoja zako bado imekiri kuwa ugumu wa mioyo yetu ndio kilimfanya musa akarihusu suala la kusemea uzini ni pale mtu amuachapo mwenza wake jwa tamaa za mwili ndipo huchukuliwa km uzinifu lakn apa wanaachana na mtu anafanya agano jipya
Soma vizuri mstari wa 9 msingi pekee wa takaka kwa wakriso ni uzinzi
Na enzi za Musa pia ilikuwa kuwa ruksa kutoa talaka lakini inaonekana watu waluouwa wanawaacha wake zao bila kuwa na sababu ya msingi ndiyo maana ilikatazwa
Kwa hiyo tuseme wanaoshindwaga kesi mahakamani wote wanakuwaga hawana wanasheria...???Sioni umuhimu wa kujadili hi post humu, kwanza inakiuka privacy ya mtu, na haileti mafundisho yoyote hapa, kwanza kumbuk mzee mengi ni msomi, na anamwanasheria wake bw michael ngalo, huyu ni mshaur wa maswala yote ya kisheria juu ya mzee na kampuni. Hakuna kilichovunjwa hapo, by the way naomba tujadili vitu vyenye tija kwa hili halituhusu.
Sioni umuhimu wa kujadili hi post humu, kwanza inakiuka privacy ya mtu, na haileti mafundisho yoyote hapa, kwanza kumbuk mzee mengi ni msomi, na anamwanasheria wake bw michael ngalo, huyu ni mshaur wa maswala yote ya kisheria juu ya mzee na kampuni. Hakuna kilichovunjwa hapo, by the way naomba tujadili vitu vyenye tija kwa hili halituhusu.
Umesema kweli huoni msingi wa kujadili sasa c ungepita hvi kilichokusukuma kucoment hapa ni nn
Watu tunajifunza hapa kupitia wengne na mleta mada ameuliza maswal ya msing hapa na sisi tunatakiwa kujadili kwa kulenga maswali hayo sio kwa kumwangalia mzee Meng kama Mengi, kama ingewezkana tungetumia majina kama A, B nk. Kwahyo hakuna cha uprivancy hapo
Sijaona sehemu Yesu kafungisha ndoa.Lakini hapa hoja ambayotunaweza kujadili ni "Kile kiapo cha ndoa cha kanisani kiliandikwa na Mungu au ni wanadamu walijitungia ngonjela zao wakaweka watu waimbe na kwanini mtu analazimishwa kusema maneno ambayo sio ya kwake ni ya mtu mwingine alafu anahukumiwa kwayo"?
Mambo ya kanisa hayapo kwenye katiba
mke mmoja, mme mmoja ni mambo ya madhahuni
Yawezekana Mengi Ameasi kanisa .....hana makosa
kama ambavyo mkristo aweza badili din na pia mwislam aweza badili din.
wote wako above 18yrs na akili timam. Nimaamuzi yao.
Soma vizuri mstari wa 9 msingi pekee wa takaka kwa wakriso ni uzinzi
Na enzi za Musa pia ilikuwa kuwa ruksa kutoa talaka lakini inaonekana watu waluouwa wanawaacha wake zao bila kuwa na sababu ya msingi ndiyo maana ilikatazwa
Sijaona sehemu Yesu kafungisha ndoa.
Au alitamka ni vibaya kuoa mke zaidi ya mmoja.
Suleiman alikuwa na wake buku=1,000.
kwani van gaal wewe ni nyumba ndogo ya mengi au mmoja wa warithi hadi unauliza public mambo binafsi ya mengi? hayo maswali wataulizana mengi na familia yake.