Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

MASEBUNA;

Mbona ata iyo mistari unayotumia km nguzo ya hoja zako bado imekiri kuwa ugumu wa mioyo yetu ndio kilimfanya musa akarihusu suala la kusemea uzini ni pale mtu amuachapo mwenza wake jwa tamaa za mwili ndipo huchukuliwa km uzinifu lakn apa wanaachana na mtu anafanya agano jipya
 
Last edited by a moderator:

Soma vizuri mstari wa 9 msingi pekee wa takaka kwa wakriso ni uzinzi

Na enzi za Musa pia ilikuwa kuwa ruksa kutoa talaka lakini inaonekana watu waluouwa wanawaacha wake zao bila kuwa na sababu ya msingi ndiyo maana ilikatazwa
 
Kwa maana nyingne utaki talaka itambulike kuwa ni mojawapo ya kutenganisha wana ndoa…? Mana hata hiyo mistari usimamiayo haiko bayana kivile
 
Sheria ya ndoa ya mwaka 1972 inasema mkristo aliefunga ndoa kanisani haruhusiwi kuoa mke mwengine mpaka kanisa litowe kibali cha talaka na kutoa kibali cha kuoa.
Sasa sina uhakika na ndoa ya mengi ya kwanza jee imevunjika na kupata talaka , ? Na jee ameruhusiwa kuoa na kanisa ? Hata kaoa nje ya nchi kama taratibu hizi hakufata basi amevunja sheria na anastahili adhabu
 
Mbona mnachunguza yasiyo wahusu jamani mwisho mtataka kujua aliiwekaje hiyo mimba loool tukaushe
 
Sioni umuhimu wa kujadili hi post humu, kwanza inakiuka privacy ya mtu, na haileti mafundisho yoyote hapa, kwanza kumbuk mzee mengi ni msomi, na anamwanasheria wake bw michael ngalo, huyu ni mshaur wa maswala yote ya kisheria juu ya mzee na kampuni. Hakuna kilichovunjwa hapo, by the way naomba tujadili vitu vyenye tija kwa hili halituhusu.
Kwa hiyo tuseme wanaoshindwaga kesi mahakamani wote wanakuwaga hawana wanasheria...???
 
wabongo bana mambo ya watu kwa kuyashupalia n shiida khaa ndoa ya meng na klynn wew inakusumbuaaaaa
 
Sheria ya ndoa za kikristo inasema ikishafungwa hakuna chombo chochote hata mahakama ambayo inaweza kutengua hiyo ndoa ata kwenye cheti cha ndoa kuna hicho kipengele alafu sheria mpya ya mirathi inasema mtu au mmiliki wa mali yoyote anaruhusiwa kumrithisha mtu yeyote ambaye amependezwa naye sio lazima ampe mke wake. Na Ndoa ya kwanza ya Mengi ilikua ya kanisani?
 
Lakini hapa hoja ambayotunaweza kujadili ni "Kile kiapo cha ndoa cha kanisani kiliandikwa na Mungu au ni wanadamu walijitungia ngonjela zao wakaweka watu waimbe na kwanini mtu analazimishwa kusema maneno ambayo sio ya kwake ni ya mtu mwingine alafu anahukumiwa kwayo"?
 
Sioni umuhimu wa kujadili hi post humu, kwanza inakiuka privacy ya mtu, na haileti mafundisho yoyote hapa, kwanza kumbuk mzee mengi ni msomi, na anamwanasheria wake bw michael ngalo, huyu ni mshaur wa maswala yote ya kisheria juu ya mzee na kampuni. Hakuna kilichovunjwa hapo, by the way naomba tujadili vitu vyenye tija kwa hili halituhusu.

Umesema kweli huoni msingi wa kujadili sasa c ungepita hvi kilichokusukuma kucoment hapa ni nn
Watu tunajifunza hapa kupitia wengne na mleta mada ameuliza maswal ya msing hapa na sisi tunatakiwa kujadili kwa kulenga maswali hayo sio kwa kumwangalia mzee Meng kama Mengi, kama ingewezkana tungetumia majina kama A, B nk. Kwahyo hakuna cha uprivancy hapo
 
kweli kabisa
 
Dr.Mengi kafuata nyayo za wazee wa kichagga, Wengi ni wakristo lakini wana mke zaidi ya mmoja
inaweza kuwa rasmi au si rasmi.
 
Lakini hapa hoja ambayotunaweza kujadili ni "Kile kiapo cha ndoa cha kanisani kiliandikwa na Mungu au ni wanadamu walijitungia ngonjela zao wakaweka watu waimbe na kwanini mtu analazimishwa kusema maneno ambayo sio ya kwake ni ya mtu mwingine alafu anahukumiwa kwayo"?
Sijaona sehemu Yesu kafungisha ndoa.
Au alitamka ni vibaya kuoa mke zaidi ya mmoja.
Suleiman alikuwa na wake buku=1,000.
 
Mambo ya kanisa hayapo kwenye katiba

mke mmoja, mme mmoja ni mambo ya madhahuni

Yawezekana Mengi Ameasi kanisa .....hana makosa

kama ambavyo mkristo aweza badili din na pia mwislam aweza badili din.

wote wako above 18yrs na akili timam. Nimaamuzi yao.

Kwa uelewa wangu, ukifunga ndoa ya kikristo, unapewa vyeti viwili vya ndoa, cha serikali na cha kanisa. Kile cha serikali kina sehemu unaamua kama ni ndoa ya mke mmoja au zaidi ya mke mmoja. Yaani, ukichagua mke mmoja serikali nao wanasajili hivyo kuwa ulisaini mkataba huo kuwa wa mke mmoja na si vinginevyo...
 
Soma vizuri mstari wa 9 msingi pekee wa takaka kwa wakriso ni uzinzi

Na enzi za Musa pia ilikuwa kuwa ruksa kutoa talaka lakini inaonekana watu waluouwa wanawaacha wake zao bila kuwa na sababu ya msingi ndiyo maana ilikatazwa

Usituletee mambo ya enzi za Musa, hizi ni enzi nyingine
 
Sijaona sehemu Yesu kafungisha ndoa.
Au alitamka ni vibaya kuoa mke zaidi ya mmoja.
Suleiman alikuwa na wake buku=1,000.

Ni kweli Suleiman (wa Biblia) alikuwa na wake 300 na masulia 700; lakini mwisho wa Siku alifunguka na kusema, "hayo yote ni UBATILI"! Biblia hairuhusu ndoa za mitala Japo IPO mifano ya akina Suleiman, Ibrahim, Jacob et al.
 
kwani van gaal wewe ni nyumba ndogo ya mengi au mmoja wa warithi hadi unauliza public mambo binafsi ya mengi? hayo maswali wataulizana mengi na familia yake.
 
kwani van gaal wewe ni nyumba ndogo ya mengi au mmoja wa warithi hadi unauliza public mambo binafsi ya mengi? hayo maswali wataulizana mengi na familia yake.

hayo sasa matusi mkuu
 
Mengi ni Public figure kila anachofanya jamii iliyomzunguka inatakiwa kujifunza ubaya wake na uzuri wake kwa hiyo hiyo inampunguzia privacy right. Pili hata yeye kuna mambo yakimtokea binafsi huwa anaenda kwenye midea na kuelezea umma kama ni privacy si angeishia kumalizana na police tu.Tatu yeye na Kyln kuwa kama case study kwa ajili ya watu kujifunza hiyo sheria ya ndoa nikwasababu itakuwa rahisi watu kuelewa kirahisi kuliko kukutumia ww ambae hata jirani yako hakufahamu.Mwisho ww mwenyewe umesema haina haja ya kujadili lkn inaonekana na ww umetoa ufafanuzi hapo hivyo wacha wanasheria wajadili ndo maana social network.
 
Cheti cha ndoa Tanzania kinaainisha aina ya ndoa. Kama inaweza kuongeza wake au la (hakuna option ya kuongeza waume bado, which is a travesty). Kwa hiyo kama ndoa ilikuwa ya mke mmoja isiyoruhusu kuongeza mke, na Mengi kaongeza mke kabla ya talaka, ndoa ya pili ina utata wa kubatilishwa kisheria Tanzania.
 
Back
Top Bottom