Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn


    • Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!








Juu ya jukwaa hili pameandikwa ivyo!!!Sasa nawashangaa mnalialia nini kama watoto kwenye huu uzi hadi kumuandama mleta uzi, Wa Tz bana sijui mkoje, Ingekua habari ya Diamond na Wema, ama Ali Kiba na yake mgepiga sana kelele na kuchangia , mi nadhani ukiona huu uzi unakutesa usifungue tu, wapo wengine wanajifunza iyo sheria hapa huenda siku moja wakawa ktk situation kama hii
 
acha blah blah ndoa yoyote ile iwe ya kanisa, kimila, kiislam nk inaweza tenguliwa na mahakama iwapo mtakua mmekubaliana!!!

Ulielewa nilichoandika hapa au ww ndo umeleta blah blah? Maana apa mm sikugusia mamlaka ya mahakama haya ya kwako umeyatoa wap?
 
Jamani kwa mtazamo wangu thz z person ishu. Nenda kwa mwanasheria umuelezee ivyo ivyo atakufungua macho na akuchaji kwa huduma hiyo! Unauliza unajua mipango yao??? Je kama karuhusiwa. ase wabongo
 
Jamani kwa mtazamo wangu thz z person ishu. Nenda kwa mwanasheria umuelezee ivyo ivyo atakufungua macho na akuchaji kwa huduma hiyo! Unauliza unajua mipango yao??? Je kama karuhusiwa. ase wabongo

Mkuu, nadhani umepotea jukwaaa!
 
kifungu cha 11 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971....kimeruhusu kubadilisha ndoa kutoka ya mke mmoja kwenda wake wengi endapo wanandoa watakubaliana...nenda kasome hiko kipengele Van gaal
Kwa ndoa za Bomani/Area Commioner /Dc na kwa ndugu zetu waislam sio kanisani kasome upya.
 
Hakuna kitu Kama Hicho.... unapewa vyeti vya ndoa viwili tu aina moja cha serikali anapewa mume na mke.
 
tofautisha kati ya sheria ya kikristo na ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…