Msaada wa kisheria kuhusu sheria za kazi

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
214
Mimi kitaaluma nimesona BBA lkn kwenye kampuni ninayofanya kazi nimekaimu nafasi ya meneja mwajiri H.R . sasa jana nikiwa ofisin kuna mfanyakazi moja kaingia na kunitukana matusi ya hovyo. sasa najiuliza ni hatua gani zinafaa kumchukulia . naombeni ushauri wenu.

Asante
 
Yaani hiyo kampuni haina hata ki-employee handbook cha uongo na kweli kinachoelezea code(s) of personal conduct kazini?
 
employee hand book zipo , mi nimeuliza kwa wanaujua sheria hasa labor low 2004, kama huna ushauri c unapita kimya?
 
Hiyo handbook haitoi mwongozo wa hatua zinazotakiwa kuchukuliwa endapo mfanyakazi anaona kanyanyaswa?
 
kwani hiyo ofisi haina staff regulation? then kutukanwa kitu gani?acha kuendekeza migogoro sehemu ya kazi,piga kazi hapo ni mahala pa kupita tu.
usilipe ubaya kwa ubaya!
 
sijajua kama sijaeleweka vizuri au ni vp . Staff Regulations. tunayo nilitaka msaada kuhusu mwongozo wa sheria ya kazi na ajira Tanzania ya mwaka 2004.hizo mnazosema ni sheria ndogo za mwongozo wa kazi ambazo zinatungwa na taasisi husika. sasa unaweza ukatoa maamuzi kwa kuangala hizi staff regulations nk , lakini mtu kesha akalipeleka shauri kwenye vyama vya wafanyakazi ikaonekana ameonewa. so naomba ushauri kwa anayejua lengo nikuongeza ufahamu
 
Onana na uongozi kwanza mfanyiwe kitu kinaitwa dispute resolution kati ya hzo pande mbili yan wew na yey
 
Back
Top Bottom