Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria inasema mtu akikaa zaidi ya miaka mitano katika kituo kimoja, awe anahamishwa au anajihamisha anastahili kulipwa. lakini katika uhalisia ukijihamisha inakuwa ngumu kulipwa maana wakati unaomba uhamisho ,sharti la kwanza unapaswa kuonesha kuwa utajigharimia mwenyewe uhamisho wako.Naomba msaada wa kisheria
Habri wakuu..naomba kujua uhamisho wa kuomba ukiwa kazini baada ya miaka mitano kituoni na ukaomba uhamisho je unastahili kulipwa? Sheria inasemaje?