Msaada wa kisheria kuhusu uhamisho

Msaada wa kisheria kuhusu uhamisho

Bugasarai

Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
74
Reaction score
240
Naomba msaada wa kisheria
Habri wakuu..naomba kujua uhamisho wa kuomba ukiwa kazini baada ya miaka mitano kituoni na ukaomba uhamisho je unastahili kulipwa? Sheria inasemaje?
 
Naomba msaada wa kisheria
Habri wakuu..naomba kujua uhamisho wa kuomba ukiwa kazini baada ya miaka mitano kituoni na ukaomba uhamisho je unastahili kulipwa? Sheria inasemaje?
Sheria inasema mtu akikaa zaidi ya miaka mitano katika kituo kimoja, awe anahamishwa au anajihamisha anastahili kulipwa. lakini katika uhalisia ukijihamisha inakuwa ngumu kulipwa maana wakati unaomba uhamisho ,sharti la kwanza unapaswa kuonesha kuwa utajigharimia mwenyewe uhamisho wako.
 
Back
Top Bottom