Msaada wa kisheria kuhusu ushuhuda huu wadau

tanganyikakwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
493
Reaction score
186
Kijana mmoja alikuja kuomba ushauri kwangu na haya ndiyo maelezo yake,anaomba ushauri kwa wanaoijua sheria.

Nawasilisha.
 
Wenye uelewa mpana tumekusoma na kukuelewa lakin kwa wale jamaa ambao wana narrow brain hawajui kuwa hizi muvi wanazocheza kuwa zinaishi na ipo siku wataulizwa kuwa hivi wakati unafanya haya mambo ulikuwa upo kwenye hali gani
 
Hiyo kesi hutawaona kina simiyu yetu,mwanadiwani,faiza fox au watu wa type ile wakikupa ushauri hapa.
 
Kwa kumsaidia,mwambie aende katika taasisi za kidini inategemea yeye ni dini gani akapate toba ya kudhamiria ilihali mwenyezi mungu amsamehe madhambi aliyoyetenda katika njama za ujambazi,ila sidhani sheri itakuacha sheria bwana mdogo ni msimeno,labda tu ulifikishe swala hli kweny vyombo vya usalama kama inavyoitwa jamii shirikishi kuwaseti hao grup memb wako matiwe mbaroni,ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…