Msaada wa kisheria,kuhusu vipodozi vinavyochomwa

Msaada wa kisheria,kuhusu vipodozi vinavyochomwa

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
salaam sana wakuu.
hivi majuzi tu nilishuhudia kwenywe ITV nadhani ni maeneo ya IRINGA walikamata lori la mafuta likiwa ndani limesheheni vipodozi toka kongo na kesho yake wakaviteketeza.
_sasa nauliza kwa kuwa mzigo ule ulikuwa na thamani kubwa kwanini serekali isiagize mizigo kama hiyo wamiliki wapigwe fine na mzigo husika ukarudishwa ulipotoka ili kuokoa kuteketeza mamilioni ya fedha?
_kwanini pia mamlaka husika zisitoe elimu kwa watumiaji na wauzaji kuwa hiki kinafaa na hiki haikifai?
 
kumbe hili jukwaa liko kimya hivi
 
Back
Top Bottom