salaam sana wakuu.
hivi majuzi tu nilishuhudia kwenywe ITV nadhani ni maeneo ya IRINGA walikamata lori la mafuta likiwa ndani limesheheni vipodozi toka kongo na kesho yake wakaviteketeza.
_sasa nauliza kwa kuwa mzigo ule ulikuwa na thamani kubwa kwanini serekali isiagize mizigo kama hiyo wamiliki wapigwe fine na mzigo husika ukarudishwa ulipotoka ili kuokoa kuteketeza mamilioni ya fedha?
_kwanini pia mamlaka husika zisitoe elimu kwa watumiaji na wauzaji kuwa hiki kinafaa na hiki haikifai?