Msaada wa kisheria - kukatwa mshahara

Msaada wa kisheria - kukatwa mshahara

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Habari zenu wadau?
Naomba mnisaidie vifungu vya sheria na miongozo, taratibu zingine zinazotakiwa kufuatwa pale ambapo mwajiri anapokuwa ameweka mshahara bank (mara mbili ya ule anaotakiwa kutoa).
Kiukweli inabidi uwe recovered:
Sasa, je: Ni namna gani unatakiwa kuwa recovered?
Kuna mwajiri kajichanganya then anasema ATAKATA salary iliyozodishwa kwa muda wa miezi miwili (yaani nusu nusu).

Kwa nini asikate kwa mwezi mmoja tu, au miezi sita au mwaka, anafuata utaratibu gani au sheria gani?

Uzembe wake nd'o uniathiri mipango yangu?
 
Sasa mkuu ulipoona mpunga mkubwa kuliko kaiwaida kwa nini hukuripoti.
Hilo ni kosa la kuaminika. Tena hapo mwajiri amekuhurumia sana, angeweza hata kukukata kwa mkupuo mmoja na kama kuna sehemu inabaki anamalizia mwezi unaofuata. Na kama angekuwa serious zaidi ungeweza kuchukuliwa hata hatua za kinidhamu.
 
Back
Top Bottom